top of page
Radio on air

FEISAL MAPUMZIKONI AITUMIA VIZURI LIKIZO YAKE KABLA YA MSIMU MPYA KUANZA

Nyota aliyeshika nafasi ya pili kunako mbio za ufungaji bora msimu uliomalizika wa Ligi Kuu ya



NBC 2023/24 Feisal Salum anayekipiga kunako klabu ya Azam FC yupo mapumzikoni kwao visiwani Zanzibar.

@feisal194 anayetajwa kuwa na msimu mzuri sana anaonekana akiwa na furaha akiitumia vyema likizo yake kabla ya msimu mpya wa 2024/25 kuanza ambapo pia klabu yake ya @azamfcofficial inashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page