top of page

FURAHA YA USHINDI ALLY KAMWE

FURAHA YA USHINDI ALLY KAMWE



AZIMIA UWANJANI AKIMBIZWA HOSP..

Taarifa zilizotufikia mezani usiku Afisa habari wa Yanga Sc Ally Kamwe amezimia kwa Mkapa mara baada tu ya Mchezo kumalizika huku Yanga Sc ikiibuka na ushindi wa Mabao 4-0 dhdi ya CR Belouizdad.

Hata hivyo, amekumbizwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa huduma ya kwanza.

Hii inaweza kuwa ni furaha kubwa aliyokuwanayo baada ya Yanga Sc kutinga hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara kwanza katika Historia.

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page