top of page

HAALAND AJIPIGA KUFULI MAN CITY AONGEZA MKATABA WA MIAKA 9.5 MPAKA MWAKA 2034


Mchezaji Erling Haaland ametia saini mkataba mpya Man City kwa miaka 9.5 ijayo ambapo ni hadi mwaka 2034. Panapo Majaliwa hadi wakati huo Haaland atakuwa na umri wa miaka 34 kufikia wakati huo.


Makubaliano yamekamilika na kufungwa, kwani @davidornstein ameripoti kuwa mikataba tayari imekamilika pande zote mbili. Inaelezwa dili hilo litakuwa lenye mshahara wa rekodi kwa Manchester City na moja ya mikataba mikubwa zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa kandanda

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page