Kutoka kwa Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amefunguka haya baada ya mchezo wao dhidi ya Coastal Union kutamatika kwa sare ya 2 - 2.
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_82984555505a41a29b246bc1fefb93f6~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_82984555505a41a29b246bc1fefb93f6~mv2.jpg)
"Haikua siku nzuri kwetu, Hatuna budi ya kuyapokea matokeo haya kama darasa na kujipanga kwa mechi zijazo Matokeo ya leo yasitutoe kwenye mipango yetu mikubwa ya msimu huu Kwenye safari ya mafanikio lazima upatie sana na ukosee kidogo ili ujiimarishe zaidi".
Comments