Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed

Ally ameandika ujumbe huu
"Hela ya kumuongezea Mkataba Aziz Ally hamna ndio mnaanza kupitisha bakuli halafu mkajifanya mnataka kumsajili Kibu, Niliwaambia mtafilisika vibaya mnoo hamna fedha ya kumchukua mchezaji wa Simba anaetakiwa na Simba
Kwakua ndoto yenu ni kumiliki mchezaji kutoka Simba basi nyie kuweni na subira baada ya mechi ya mwisho tarehe 28 tutaanza kutangaza tunaochana nao hapo ndio mtaambulia"
Comments