top of page

HARMONIZE AMSIFU IBRAAH

HARMONIZE AMSIFU IBRAAH KWA KUWA MVUMILIVU KONDE GANG APANGA KUONGEZA WASANII WAWILI....

Staa wa Bongo Fleva Harmonize amempa sifa msanii wake Ibraah wa Konde Gang kwa kuweza kuvumilia kusalia kwenye lebo licha ya kupitia changamoto mbalimbali tofauti na



wasanij wengine waliokuwa ndani ya Lebo hiyo na kuondoka wakiwemo Cheedy, Killy na Anjella ambapo Harmonize amefunguka haya

"CHINGA HIS BACK !!!!! @ibraah_tz @nelly_kamwelu Nimekaa Hapa Nawatazama Wale Waliofanikiwa Kuwatia Ujinga Wasanii Wengine Ambao Walikuwa @kondegang Na Kuwaaminisha Watafanikiwa Zaidii Hata Mimi wakati Mwingine llinibidi Niamini Hivyo Ndio maana Kwa Moyo Mkunjufu Nilizibariki Safari Zaoo!!! Ila Chakusikitisha IMEKUWA SIVYO NDIVYO !! Busara Unyenyekevu Uvumilivu Ni baadhi Ya Vitu Vinamfanya CHINGA Awe Hapa Leo!!!! PROUD OF YOU BROTHER ushauri Wako Naufanyia Kaziii Ingawa Nilikaribia Kukata Tamaa Kabisa Kuwa Support Wasanii Wengine Ila MANENO YAKO YAMENIPA NGUVU UPYA!!!! 2 MEMBERS @kondegang HUU MWAKA !!! 202

& Mtag Msaniii Unaemuona MKALI ILA HAJAPATA Nafasi!"


Unadhani wasanii watakaokuja Konde Gang awamu hii watafanya vyema?

Comentários


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page