
Kutoka kwa staa wa Bongofleva Harmonize anayefanya vyema na ngoma yake ya I made It pia Dharau aliyoshirikishwa na msanii wake wa KondeGang Ibraah Tz amefunguka haya juu ya suala la kutaka kuzichapa Bondia Hassan Mwakinyo
"Team Yangu Na Yake Zipo Katika Mazungumzo Ya Mwisho Na Kukubaliana Kati Ya Viwanja Hivi Viwili ATACHAGUA YEYE PAKUFIA!!!! VIINGILIO VYOTE ASILIMIA KUBWA
KWA MKAPA AU UHURU STADIUM ZITAENDA KUOKOA MAISHA YA NDUGU ZETU WANAO PAMBANIA MAISHA YAO WANAO PAMBANA NA MARADHI YA CANCERA UWA MMOJA OKOA WENGI !!! NDICHO KILICHOPO KICHWANI MWANGU NOW
LEVO & MWIJAKU WOTE NI TEAM KONDE !! FANYA UWAWAHI WALIO BAKI WAKUSAIDIE KUKUPA MOYO !! KABLA SIJAMCHUKUA DOTO MAGARI NIKUACHIE KIGUGU WA MWANZA #KONDEVSMWAKINYO"
Σχόλια