top of page

HARMONIZE NA MPENZI WAKE POSHY QUEEN NYUMBANI KWA RAIS MSTAAFU KIKWETE...




Ni family Day Out ya Harmonize na Mpenzi wake Poshy Queen walimpomtembelea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete nyumbani kwake ikiwa ni mtoka wa Eid Pili hapo jana Aprili 11, 2024.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page