top of page

HARRIS NA TRUMP WAFUNGANA

Na Ramla Ramadhan


Katika uchaguzi ulioanza leo Nchini Marekani matokeo ya kwanza ya uchaguzi wa Marekani yametangazwa katika kijiji kidogo cha Dixville Notch huko New Hampshire ambapo wagombea wote wawili wa urais Kamala Harris na Donald Trump wamefungana kikura


Ambapo mgombea wa Democratic Harris amepata kura 3 sawa na mwenzake wa Republican Donald Trump. Dixville Notch kilicho karibu na mpaka wa Canada ni Kijiji ambacho kimekuwa na utamaduni wa kufungua vituo vya upigaji kura tangu mwaka 1960 Nchini Marekani.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page