Wakati Bifu la Drake na Rick Ross likiendelea kupamba moto kunako mitandao ya kijamii kila

mmoja akitema cheche kwa mwenzake sasa imefika hatua ya mashabiki kushindanisha vitu wanavyomiliki na muda huu ni wa kushindanisha Mijengo yao wanayomiliki.
Haya sasa hapo Jumba la nani ni kali zaidi?
Komentáře