top of page

HAYA NDIO MAJINA YA WANAFUNZI WALIOFARIKI KWA AJALI NA KIJANA MMOJA ALIYEFARIKI AKIWAOKOA.....




Kutoka jijini Arusha kwenye zoezi la kuaga miili ya wanafunzi waliofariki kwenye ajali ya gari la shule lililoanguka kwenye Korongo la Maji haya ndio majina ya Marehemu

1-Abigael P Shayo.

2-Abi Albon P. Shayo.

3-Winfrida E.Reuben.

4-Noela J. Kivuyo.

5-Daylan J. Kibira.

6-Shedrack William

7-Morgan E.Mush.

8-Altracia E. Mushi.

9-Bryan T. Nguyaine-Kijana aliefariki wakati akifanya zoezi la Uokoaji wanafunzi hao.

Aidha Rais Samia ametoa Tsh Milioni 5 kwa familia ya Bryan kama sehemu ya pole hivyo itawekwa kwenye akaunti ya mkewe.

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page