Kutoka kwa Meneja habari na mawasiliano Yanga SC Ally Kamwe amepost picha hii baada ya

mechi ya Ligi Kuu ya NBC Namungo na Simba iliyotamatika kwa sare ya mabao mbili kwa mbili kisha ameandika caption isemayo
"Hivi Huyu Baba ameenda Kuuguza Mgonjwa Au Amekimbia Mgonjwa"
Comments