top of page

IDRIS ATOA ZAWADI YA GARI.


Idris Sultan amempa furaha mtanzania mwingine mmoja kwa kubadilisha maisha yake baada ya kumpatia zawadi ya gari mpya. Idris alitoa zawadi hiyo baada ya mtanzania huyo kushinda katoka droo ya Tap Tap Utoboe inayoendeshwa na bank ya Exim Tanzania.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page