Idris Sultan akiwa kwenye hatua za kutafuta ujuzi na kujifunza zaidi, leo ikiwa ni siku ya tatu tangu awepo nchini Korea Kusini amefanikiwa kutembelea Busan Studio, sehemu ambayo kazi
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_10fce81e7bd547d39677ef432c488870~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_10fce81e7bd547d39677ef432c488870~mv2.jpg)
kubwa za filamu nchini humo hufanyikia hapo.
Busani Studio kuna kila kitu ambacho kinahitajika kwa ajili ya kufanya filamu ama kazi za sanaa, pia kuna madarasa maalum ya kufundisha masuala ya filamu.
Mbali na Idris Sultan wasanii wengine ambao wakilitembelea Busan Studio ni Wema Sepetu, Getrude Mwita, Mc Madevu, Eliud Samweli, Irene Paul, Gabo Zigamba na wengine.
Commentaires