top of page

JAMAA AOGELEA SIKU 2 MFULULIZO ILI AWEKE REKODI YA DUNIA, NA AMEWEZA


Rekodi ya kuogelea kwa muda mrefu imewekwa na Maarten van der Weijden (Uholanzi) huko Vught, North Brabant, Uholanzi, aliogelea kwa saa 45 kuanzia tarehe 28 hadi 30 Desemba 2023.


Alianza saa 11 alfajiri tarehe 28 Desemba na kumaliza saa 8 usiku wa manane tarehe 30 Desemba 2023. Hii ni kwa mujibu wa World Guinness Record.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page