top of page

JE WAJUA YANGA SC AKISHINDA LEO DHIDI YA MTIBWA SUGAR ANAKUWA BINGWA MARA YA 30?

Je wajua kuwa Yanga ikishinda mchezo wake wa leo dhidi ya Mtibwa Sugar atatangazwa kuwa



bingwa wa ligi kuu msimu huu? Kivipi? Ni hivi

Yanga akishinda atafikisha alama 71 ambazo hata Simba akishinda michezo yake minne iliyobaki atafikisha alama 69 na Azam akishinda michezo yake yote atafikisha alama 69 sawa na Simba.

UNACHELEWA WAPI SASA?

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page