top of page

JESHI LA ISRAEL LIMEWAUA WAPALESTINA 55 KATIKA SHAMBULIO LA KASKAZINI MWA GAZA


Na Ester Madeghe,


Jeshi laa Israel limewauwa watu wasiopungua 55 katika shambulio dhidi ya jengo moja huko Beit Lahiya. Makumi ya watu wengine bado hawajulikani walipo. Taarifa zaidi endelea kufuatilia Msasa Media.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page