Baada ya @gnakowarawara kushindwa kuvumilia kuona ngoma za Kundi la Weusi zipo ndani
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_d51ab1d3f58949ab98c81a5156e00aec~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_d51ab1d3f58949ab98c81a5156e00aec~mv2.jpg)
tu halafu hawaziachii akaamua kuforce kingi na kutoa kionjo huku akitishia kuziachia mwana kundi mwenzake @johmakinitz amempa onyo akisema
"Hatuwezi kutoa miziki kiholela kwa kujaribu kama Pipii hizi sio piano bana"
Sasa Gnako ameweka msimamo akisema
"HUYUU MPORENI SIMU ATAVUNJA,, MAANA USIKU HUU NAACHIA NGOMA KILA MAHALI
NJOONI MNIUWE NIPO НОМЕ НАΡΑ"
Haya sasa wacha tusubiri kuona hii vita itaishaje.
Comments