Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa mtangazaji wa kipindi cha MashamSham Wasafi FM Juma Lokole ameandika ujumbe huu
"WAPENZI. WANGU WOTE.......!!! NAJUA MNANIPENDA SANA ....!! NA MIMI NINA WAPENDA SANA ....!!
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_0af93c5fcdc14188a039ffdc26bc4fc8~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_0af93c5fcdc14188a039ffdc26bc4fc8~mv2.jpeg)
KWA MASIKITIKO. MAKUBWA NAPENDA KUSEMA SIKU YA KESHO. IJUMAA. TAREHE 17/01/2025
KITAKUWA KIPINDI CHANGU CHA MWISHO KUSIKIKA MASHAM SHAM .... NAPUMZIKA KAZI KUEPUSHA MENGI YANAYOENDELEA ILI KUWE NA AMANI ....!!
KESHO. NTAKUJA KUWAAGA VIPENZI VYANGU....!
INSHALLAH KESHO TUKUTANE SAA TANO MPAKA NANE MCHANA".
Andiko hili la Lokole linakuja muda mchache baada ya Zuchu kuwachana Wasafi Media juu ya kumuongelea vibaya kwenye kipindi.
コメント