top of page

JUX ASIKIA KILIO CHA MASHABIKI


AZIRUDISHA ENZI ZA BOB MANECK

SASA KUNA NA NGOMA MPYA "BADO"




Kwa kitambo kirefu mashabiki wa Juma Jux walimiss ngoma zake za utulivu zenye uhondo wa mashairi mazito ya Wapenzi akaaamua awachangamshe na Madude ya kuruka ruka kama Kiss na Enjoy lakini hivi karibuni ameanza kuwapa ladha walizomiss akianza na #Nisiulizwe na sasa kabla utamu haujaisha kamvuta producer wake wakitambo @bobmanecky na sasa anakuletea #Bado kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka haya akiambanatisha na kionjo cha ngoma hiyo

"Kuna namna mapenzi yanakupitisha kwenye experience flani hivi, hadi ukasema hiki nini

Ila usiruhusu yakubadili tabia, kosa la aliyepita isiwe sababu ya kumtesa anayekuja. I still believe in love #Bado speaks truth straight from the heart. It's my raw, honest expression

#Bado, will be out tomorrow saa 6 usiku Stay tuned for the vibes!" @juma_jux

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page