Habari za wikiendi mdau wetu wa Msasa Online popote pale ulipo tunatumai u mzima wa Afya sasa wakati unaendelea kufurahia mapumziko haya ya wikiendi tuna ujumbe kutoka kwa Muigizaji wa Bongo Movie Batuli tungependa kushare nawe nao unasema
"Kabla hujamuongelea vinaya na kumchafua aliyekusaidia lipa kwanza fadhila zake"Je umejifunza nini kwenye msemo huu?
Commentaires