
Ujumbe kutoka kwa Muigizaji wa Bongo Movie Shamsa Ford anasema
My dia Kama haupo tayari kuwa Mke usiolewe ili uepukane na dhambi zingine. Mfano Mimi sitoi mguu wangu nyumbani bila ruksa ya mume wangu na akikataa sitoki sasa dada zangu wa mjini navyowajua hii ni shida. Utasikia nakupa taarifa nipo kwenye vikoba, Ndoa ni nyepesi endapo mwanamke akiwa chini ya mwanaume mwema ila ni ngumu kama utataka kushindana na mwanaume."
Je ni kweli au si kweli?
Comments