Ebwanaa eeeh hii kiboko Mrembo maarufu kunako mitandao ya kijamii Aisha Feruzy amefanya mahojiano na kituo Global Tv na kusema kuwa mwanaume kupata namba yake ya simu sio
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_d19c8f539ccf496ca6fb4ebb05e1cf99~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_d19c8f539ccf496ca6fb4ebb05e1cf99~mv2.jpg)
rahisi kwani ni lazima awe na simu aina ya Iphone 15 chini ya hapo mwanaume huyo hawezi kupata namba yake.
Hakuishia hapo Aisha alisema pia mwanaume anapaswa kuwa na gari namba E ndiyo atapata namba yake ya simu ukiwa na namba D hadi A basi ujue hutopata namba yake.
Vipi utatoboa kupata namba ya mwanadada huyu?
Comments