Kutoka kwa muigizaji wa Bongo Movie Batuli amefunguka ujumbe huu
"Kama Wewe Ni Mwanamke Halafu Umekaa Tu Nyumbani Mume Wako Au Mwenza Wako

Anakuhudumia Kwa Kila Kitu, Mpe Heshima Na Umthamini Sana Huyo Mwanaume, Huku Nje Jua Na Mvua Havina Urafiki Na Jinsia Yoyote, Huwezi Kuelewa Uhalisia Wa Ya Huku Nje Mpaka Utoke Huko Ndani" Unampa ndio au hapana kwa ujumbe wake huu?
Comments