Na Ramla Ramadhan
Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris na rais wa zamani Donald Trump wamepeleka kampeni zao kwenye jimbo lenye ushindani mkubwa wa kisiasa ikiwa zoezi hilo zimebaki siku 6 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_2f0a07de057149578c0af3471a448cd9~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_2f0a07de057149578c0af3471a448cd9~mv2.jpeg)
Kamala ambaye ni mgombea wa Democratic na Trump ambaye ni mgombea wa Republican wote wawili walielekea kwenye jimbo la North Carolina, Wisconsin na Pennsylvania. Aidha majimbo hayo matatu ni muhimu kwa wagombea hao hivyo katika ushindi wa Urais kwenye uchaguzi wa siku ya Jumanne.
Comments