top of page

KIJIJI CHA FURAHA WAKUMBUKWA NA DAWASA

KIJIJI CHA FURAHA WAKUMBUKWA NA DAWASA



Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi mahitaji ya kibinadamu kwa kituo cha kulea watoto yatima cha KIJIJI CHA FURAHA kilichopo eneo la Mbweni Mwisho, Kata ya Mbweni Wilaya ya Kinondoni.

Mahitaji hayo yaliyotolewa ni sehemu ya jitihada za Mamlaka katika kutambua na kujali uwepo na umuhimu wa makundi haya maalum kwenye jamii.

DAWASA imekuwa ikichangia jamii zenye uhitaji kwa kutambua umuhimu wa huduma yake katika maisha ya binadamu

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page