top of page

KIKOSI CHA KULINDA AMANI CHA

KIKOSI CHA KULINDA AMANI CHA

UMOJA WA MATAIFA CHAANZA

KUONDOA VIKOSI VYAKE KONGO

Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo



(MONUSCO) kinaanza rasmi kuondowa askari wake nchini humo na kukabidhisha kituo chake cha kwanza kwa polisi ya Kongo hivi leo. Kujiondowa huku kwa MONUSCO kunatokana na maombi ya serikali ya Rais Felix Tshisekedi, licha ya kuendelea kwa machafuko mashariki mwa Kongo.

Kinshasa inasema kikosi hicho cha Umoja wa Mataifa kimeshindwa kuwalinda raia dhidi ya makundi yenye silaha tangu kilipowasili nchini humo mwaka 1999.

Je unadhani maamuzi haya yapo sawa?

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page