Kutoka kwa mwanamuziki Peter Msechu amepost picha kisha ameandika caption isemayo kwamba "Kila Mtu haba Duniani ana Mbabe wake Nimenyanyua mikono"

Sasa watu mbalimbali wakiwemo mastaa wamecomment kama ifuatavyo
chegechigunda "kumbe we betina tu "
mc garab- "Kumbe mna chama chenu Worldwide"
Beka Flavour "Dah sawa tunaomba ukatoe puto tumboni wanaotakiwa kuwekwa maputo ndo hao sasa" kiboko kabisa "
Matonya Mbili "nimecheka Mno na hapo umepotea vibaya MNO "
Nae Shabiki billyseydou alicomment
:Nilichokuja kugundua ni kwamba katika hii dunia kuna six pack na one pack nundu sasa hawa jamaa wote wawili wao wako kwenye One pack nundu"
Comments