top of page

KILA SIKU HULETA FURSA MPYA NAAMKA SAA 12 KUCHANGAMKIA FURSA, WEWE UNAAMKA SAA NGAPI?

Kutoka kwa Mfanyabiashara maarufu na namba moja Tanzania na Afrika Mashariki Mohamed



Dewji maarufu kama MO ana ujumbe huu mfupi wa kukuhamasisha juu ya suala la matumizi ya muda Kila siku huleta fursa mpya. Ninaanza siku yangu saa 12, nikiwa tayari kuchangamkia kila fursa. Wewe unaamka saa ngapi? Muda ni Mali" Je wewe huwa unaamka saa ngapi?

留言


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page