
Baada ya Zuchu kuwasha moto kwa watu wanaomsema sema juu ya uhusiano wake na Diamond Platnumz kwamba kaondoka na mabegi nyumbani kisa Diamond kumuita Ex wake Sarah jukwaani ambapo aliwapiga marufuku kumzungumzia jambo lilimuibua Harmonize ambapo alipost video ya Ugali Dagaa huku akicheka na kuomba "Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitani Shemu la Mashemu haujui"
Sasa Zuchu kaamua kuvunja ukimya na kumvaa Harmonize akisema
"Kibonge koma
@harmonize_tz Huna hit mjini unakazi ya kuchambana tu mxiew haujui haujui nini sijui eeh nioneshe"
Comments