top of page

KIMENUKA ZUCHU KAHAMIA KWA POSHY WARUSHIANA MANENO HAPATOSHI KABISA...

Mambo yanaendelea kuwa moto sasa Zuchu karudi tena baada ya Harmonize kupost shoo yake ya juzi na kuandika Mtag King'ang'a aone namna Harmonize alivyojaza halafu anasema



hata Hit hata moja kwa sasa hii imefanya Zuchu arudi na kuandika ujumbe huu ambao pia umemwamsha mpenzi wa Harmonize Poshy Queen ambaye pia amejibu mapigo

Zuchu kaanza

"Harmonize baba zima kazi ya kudandia visivokuhusu Mwanamke wako yuko busy Kuomba nafasi kwa huyo Unaejifanya nusu yako shenzi

KOMA KISTULI"

Sasa Poshy kaona asiwe mnyonge nae kafunguka hili

"We koma

MWILI MZIMA KUCHA HADI NYWELE KALIO LANGU LA KUSHOTO !!!! ASK HIM AGAIN !! Shem kama shem Nimeingiaje Humu"

Kommentare


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page