![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_63f655c254ce4b3ca59cb73c8868d8c6~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_63f655c254ce4b3ca59cb73c8868d8c6~mv2.jpeg)
Fahamu kuwa mlinda mlango wa Timu ya Taifa ya Mali na klabu ya Yanga SC @djiguidiarraofficial ametajwa kuwania Tuzo za CAF katika kipengele cha golikipa bora, wa mwaka.
Diarra ametajwa kuwania Tuzo hiyo akichuana na makipa wengine Kama Andre Onana wa Manchester United ya Uingereza, Ronwein Williams wa Mamelodi ya Afrika kusini, Ousamma Benbott wa USM Alger
Orodha nzima ya wanaowania ni hii
Diarra - Yanga
Benbot - USM Alger
Onana - Manchester Utd
Fofana - Angers
Mpasi - Rodez AF
Shobier - Al Ahly
Munir - RS Berkane
Nwabali - Chippa Utd
Williams - Mamelodi
Memmiche - Esperance
Aidha klabu za Simba na Yanga zinawania tuzo za CAF kwenye klabu bora Afrika.
Comments