![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_5e7701ec1d3e422db1cb298325e94cba~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_5e7701ec1d3e422db1cb298325e94cba~mv2.jpeg)
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa BabaLevo amefunguka haya "Nidhamu Kubwa Ya MBOSSO Imemfanya @diamondplatnumz Amsemehe MAMILIONI YA PESA Na Kumpa UHURU WA KWENDA KUPAMBANA NNJE YA WCB ...! Hii Inawapa NAFASI WCB KUSAINI WASANII WENGINE WAPYA MWAKA HUU 2025..!!
KUTOKANA NA HESHIMA KUBWA YA MBOSSO KWA DAIMOND NA KWA VIONGOZI WA WCB LUKUGA AMEMFUNGULIA MILANGO MBOSSO AKAJITAFUTIE MWENYEWE BILA KULIPA CHOCHOTE WCB NA KUNA UWEZEKAΑΝΟ WAKASAINIWA WASANII WAPYA TISA WCB 2025".
Comments