top of page

KOCHA WA ASEC MIMOSAS AFURAHIA KUTOPANGWA NA YANGA ROBO FAINALI CAFCL

Kocha wa Asec Mimosas Julien Chevalier amefunguka haya "Nilifurahi kuona sijapangwa na Young Africans, ndani ya kikosi cha wababe hao wa Tanzania kuna wachezaji niliowafundisha



msimu uliopita akiwemo Pacome Zouzoua, Stephane Aziz Ki na Yao Kouassi, nafahamu uwezo wao,"

"Ukiondoa hilo msimu uliopita Young Africans ilifika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, ingekuwa timu mbaya isingefikia hatua hiyo, naamini Young Africans ina nafasi ya kutinga Nusu Fainali licha ya kupangiwa Mamelodi Sundowns, inayoonekana kuwa tishio."Amesema Julien Chevalier.

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page