top of page

"KOMBE LA SHIRIKISHO SIO BAYA NI MICHUANO MIKUBWA AFRIKA" AHMED ALLY


Wakati vita ya kugombania nafasi ya pili Ikipamba moto kati ya Azam FC na Simba SC Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amesema kuwa haoni shida kuwa nafasi ya tatu na kucheza kombe la Shirikisho Afrika kwani miongoni mwa michuano mikubwa barani Afrika.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page