Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_823f951b69fb4db5b9f7529eecd3f23e~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_823f951b69fb4db5b9f7529eecd3f23e~mv2.jpg)
Ally amechapisha picha hii ya Kombe la Shirikisho Afrika CAFCC na kisha kuandika caption isemayo "Kombe letu la Shirikisho na Tunalipenda"
Ujumbe huu wa Ahmed Ally unakuja kufuatia klabu yake anayotumikia kushika nafasi ya tatu Ligi Kuu ya NBC hivyo kushindwa kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika.
Comments