top of page
Radio on air

KUNA RANGI MTU AKIVAA NAJISIKIA VIBAYA - MANARA

Wewe ni rangi gani mtu akivaa hupendi yaani basi tu kutoka Moyoni mwako huifurahii na



kwanini? Sasa wakati ukinijibu hilo upande wa Haji Manara inaoneka rangi nyekundu haifurahii kabisa kwani amepost picha hiyo ambayo mkewe amevaa gauni jekundu na kisha ameandika

"Kuna Color (Rangi) Mtu akiivaa najisikia vibaya sana ila ni kwa vile kaivaa Wife tu".

Unadhani kwanini Manara haipendi rangi hiyo?

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page