top of page

KUNYAMAZA NI SIFA YA KUKOMAA,SIO KILA JAMBO UNAJIBU VINGINE VIKUPITE - STEVE MENGELE

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Muigizaji Steve Mengele maarufu kama Steve Nyerere amefunguka haya


"Kunyamaza ni sifa ya Kukomaa, Matumizi Mazuri Mengine ya Mdomo ni kukaaa kimya,...Sio kila jambo Unajibu vingine vikupite kwa Maslahi mapana ya heshima yako na watu walio kuzunguka., Nguvu ya kukaa kimya huwa Inatesa sana,....Ukifikia hatua ya kuwa mtu mzima,..Mungu Akakubariki hekima ya kunyamaza basi Nyamaza kama mimi,.. Maana wanao kutazama nyuma ni wengi na wanao kutegemea ni wengi thamani yako Itakuwa kubwa kama Utaamua kunyamaza."

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page