top of page

KUTOKA AKAUNTU YA X WA CEO YA ZAMANI SIMBA BARBARA AMEPOST PICHA HII NA NENO "ALHAMDULILLAH"

Kutoka kwenye ukurasa wa mtandao wa Instagram na X wa aliyewahi kuwa CEO wa klabu ya Simba SC Barbara Gonzalez amepost picha hii na kuweka ujumbe usemao



"ALHAMDULILLAH"

Hii post imeibua maswali mengi sana kwani ameipost muda mfupi tu baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Simba

Salim Abdallah maarufu Try Again atangaze kujiuzulu.

Unadhani post yake ina maana gani?

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page