top of page

KUTOKA MONDULI ARUSHA MSASA MEDIA




KUTOKA MONDULI ARUSHA MSASA MEDIA TUNASHUKURU WADAU WETU KWA KUWA NASI TUMEMPUMZISHA MZEE WETU HAYATI EDWARD LOWASSA SALAMA #RIP CHAMP

Kwenye picha ni Mkuu wa Maudhui na Mtangazaji wetu Godson Mbilinyi akisimama Kwa niaba ya timu nzima ya Msasa Media iliyokuwa imekita kambi Wilayani Monduli mkoani Arusha kwenye mazishi ya Aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, tunashukuru wadau wetu kwa kuwa nasi mpaka tamati ya kumpuzisha hii leo mazishi yakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page