top of page

KUWA NAWE IMEKUWA JAMBO LA KUSISIMUA ZAIDI - ZAIYLISSA




Kutoka kwa mke wa Haji Manara amepost picha hizi kupitia ukurasa wake wa Instagram na kisha kuandika ujumbe huu mtamu kwa mumewe

"Kuwa nawe kumekuwa jambo la kusisimua zaidi, lililojaa hisia nyingi na msisimko. Lakini kila siku mimi huamka nakupenda na kuhitaji kuwa na wewe zaidi. Leo, nakubali hakuna Zainab bila Haji. Maana sijioni bila wewe. Nataka kuwa nawe sasa, milele na siku moja baada ya milele ... Nakupenda Hajjih" ameandika ZaiyLissa

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page