top of page

"KWANZA BAHATI YAO" HASHEEM IBWE

Kutoka kwa Msemaji wa Azam FC baada ya Klabu yake kushindwa kubeba kombe mbele ya Yanga SC

"KWANZA BAHATI YAOOO0,

ASANTENI SANA MASHABIKI WETU KWA SAPOTI KUBWA MSIMU HUU NA POLENI KWA MATOKEO YA LEO.

TUMEWAPA KILA KITU UWANJANI MASHABIKI WA SOKA KWENYE FAINALI HII BAD LUCK TUMEWANYIMA USHINDI



TUU..!!

KILA KILICHOPASWA KUFANYWA KILIFANYIKA TUMECHEZA GAME NZURI SANA (hata kama mtabisha) PENALTIES ZIMEKATAA KWETU NA NDIO KUTOKUWA BAHATI.

ALHAMDULILLAH PROJECT YETU YA MSIMU HUU IMEANZA VIZURI NA MUENDELEZO WAKE MSIMU UJAO.

1.CAF CHAMPIONS LEAGUE

2.NAFASI YA PILI LEAGUE

3.WANAFAINALI WA FA CUP 2024.

TUMEMALIZA MSIMU MWAKA HUU INSHAALLAH TUTARUDI NA NGUVU SANA MWAKANI PHASE 2.

Wako mtiifu

Afisa Habari Mpya wa Team iliyoko Champions league.

Azam fc."

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page