![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_1c932e143b6641ed90422d562f22475f~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_1c932e143b6641ed90422d562f22475f~mv2.jpg)
Mwanadada Mfanyabiashara maarufu mitandaoni Niffer ametoa ya Moyoni kwa mashabiki zake akisema
"Ladies ni mambo ya kizamani sana to go for looks kuanzisha mahusiano vitu unavyoviangalia kwamba huyu mkaka ni mrefu, lips nzuri, za pink ila unachotakiwa kuangalia je huyu mwanaume anaweza kuku motivate, mambo yake anavyoyafanya, kiasi wewe mwenyewe unajichallenge kuwa mwanamke namba moja kwenye kila unachokifanya"
Comments