top of page

LAKINI ANGALAU WAMEPATA KA NGURUWE KAMOJA -ALLY KAMWE...

Baada ya Klabu ya Simba SC kutoa sare ya 1 - 1 dhidi ya Ihefu SC mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe amepost picha ya Nguruwe na kuandika "Lakini



Angalau wamepata Ka Nguruwe kao Kamoja"

Ikumbukwe kuwa kuna Mfanyabiashara mmoja ambaye ni mfugaji wa Nguruwe alisema katika kila Goli watakalofunga Simba atatoa Nguruwe.

コメント


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page