top of page

"LAWAMA ZOTE NABEBA MIMI"MIGUEL GAMONDI - KOCHA YANGA

Baada ya Yanga SC kupoteza kwa kufungwa mabao matatu kwa moja na Tabora United mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Kocha Miguel Gamondi amesema


"Timu yangu ina uchovu, tumecheza mechi sita ndani ya Siku ishirini"

"Kıla kitu leo kilikwenda vibaya, tumepata jeraha dakika ya nane, Musonda amepoteza nafasi ya wazi, tumepoteza penati wao wamefunga, wameshambulia mara mbili wakafunga, sisi tumeshambulia x20 hatukufunga, siwezi kupeleka lawama kwa Wachezaji wangu, lawama zote nabeba mimi" amesema Gamondi

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page