Katika maisha wanasema msifu mtu angali yu hai ndicho alichokifanya Mwanamuziki na mtunzi wa Bongo fleva @lodymuzic ambaye amechapishq ujumbe kumpa Maua yake msanii @whozu_ kwa kusimama naye katika safari yake Muziki mpaka sasa, ambapo Kupitia Insta Story ya ukurasa wake wa Instagram ameandika kwamba
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_6062c73997b647cb8d2bac793f1060d6~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_6062c73997b647cb8d2bac793f1060d6~mv2.jpg)
"@whozu! Unaweza usijuage hili swala ila speaking from my heart we ni msanii unaeheshimu, Unaethamini na Kuamini kipaji changu. Naweza nisiwe msanii bora sana ila unafanya Nijione Bora sana Bro! Tumekuwa tukikesha studio na sio Kwamba hela Ndo inanifanya Nikeshe ni vile ambavyo unanitreat Mzee wangu Uendelee Kubarikiwa sana. Mwanangu Nipo wakati wowote Ambapo utaona una tatizo lolote kwnye uandishi. Mungu aendelee Kukubariki Mzee wangu. Kuna vitu vyengine sio Mpaka umauti utukute ndio tusemne. Nashkuru Mwanangu!" Ni mtu gani unampa maua yake kwa Wema aliokufanyia na bado anaendelea kukufanyia?
Commenti