top of page

LORI LA MAFUTA LAANGUKA KIBAHA WANANCHI WAKIMBILIA KUCHOTA MAFUTA, POLISI YAZUIA...




Kutoka mkoani Pwani Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Wilayani Kibaha ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo Endelea kuwa nasi taarifa zaidi zitakujia.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page