Msanii wa Bongo Fleva Luludiva leo Machi 23 anatimiza miaka 29 tangu azaliwe mwaka 1995,
LuluDiva alianza kujizolea umaarufu miaka 7 iliyopita kwa ngoma yake ya Milele aliyofanya na Barnaba ambapo ilimfungulia njia na kutikisa baadae na ngoma kama Ona akiwa na Rich Mavoko na nyingine nyingi.
HAPPY BIRTHDAY LULUDIVA.
Comments