top of page

M/KITI WA BODI ANACHAGULIWA NA WAJUMBE WA BODI TUTAMCHAGUA KWA MUJIBU WA KATIBA -MANGUNGU

Kwenye mahojiano na kituo cha ITV Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC Murtaza Mangungu amesema


"Suala la Try Again kujiuzulu na kumpendekeza MO kuwa Mwenyekiti wa Bodi ni maoni yake binafsi nje na utaratibu wa Kikatiba, Mwenyekiti wa Bodi anachaguliwa na Wajumbe wa bodi kwa kupigiwa kura hivyo tutamchagua Mwenyekiti wa Bodi kwa mujibu wa Katiba"

Ikumbukwe siku ya jana Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah maarufu Try Again alitangaza kujiuzulu na kumpendekeza Mohamed Dewji maarufu MO arejee kwenye nafasi hiyo ambapo baadae MO alitangaza kurejea ili kusuka Simba mpya.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page