top of page

MAKOSA YETU MENGI YAMETUGHARIMU" AHMED ALLY

Kutoka kwenye ukurasa wa Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amefunguka haya baada ya mchezo wao dhidi ya Fountain Gete uliomalizika kwa 1 - 1


"Yasiyotarajiwa yametokea, hatuna budi kuayapokea japo hayapokeleki kwa urahisi Hatukua kwenye ubora wetu na makosa yetu mengi yametugharimu

Hili limepita japo linaumiza lakini lisituache na majereha ya kushindwa kuamka kujipanga kwa mechi ijayo. Mapambano yanaendelea!!".

ความคิดเห็น


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page